Tafuta katika Blogu Hii

Jumapili, 22 Machi 2015SAFARI ZA TRENI KUANZA TENA TAREHE 24 MARCH, 2015.


Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania – TRL unafuraha kuwataarifu  abiria wote na wananchi kwa jumla  kuwa huduma ya treni ya abiria itaanza upya hapo siku ya Jumanne Machi 24, 2015 kuanzia Stesheni ya Dar es Salaam saa 11 jioni.
Wananchi wanaotaka kusafiri wafike stesheni zilizo karibu yao kwa ajili ya kukata tiketi ya safari hiyo.
Huduma ya usafiri wa reli ilisitishwa wiki mbili zilizopita Machi 6, 2015 baada ya eneo la tuta la  reli kati ya Stesheni za Kilosa na Kidete kukuharibiwa vibaya...


Hakuna maoni: